Viwanjani

Wanamuziki BEN POL, VEE MONEY wazungumzia Kilele cha tiGO Fiesta 2017

on

Wasanii watakaowasha Moto siku ya jumamosi ndani ya viwanja vya LEADERS CLUB  wametembelea Ofisi za makao makuu ya TIGO jijini DAR ES SALAAM na kuahidi kufanya maajabu Siku ya jumamosi.

Ilikua ni safari ya mikoa 17 ambapo ilikusanya miezi ikaja mwezi, wiki,masaa sasa imebaki siku moja tu jukwaa liwake moto katika mkoa wa mwisho ambao ndio kilele cha moto uliowashwa ndani ya mikoa 16 .

Hawa ni wasanii ambao wamekutana katika makao Makuu ya Tigo mapema  leo ikiwa ni katika kuelekea kuhitimisha kilele cha msimu mzima wa TIGO FIESTA 2017.

 

About Habari360_1

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *