Viwanjani

tiGOFiesta 2017 ilivyohitimishwa Viwanja vya Leaders, Dar es Salaam

on

 
Msanii Madee kushoto akiwa na Janjaroo na TundaMan kwa pamoja kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam usiku wa kuamkia jana.

 

Ommy Dimpozi akiwa kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika viwanja vya Leaders usiku wa kuamkia jana

 

 Ommy Dimpozi akiendelea kuburudisha katika  jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika viwanja vya Leaders usiku wa kuamkia jana.

 

Alikiba akiwa na kundi lake wakitumbuiza katika jukwaa la Tigo fiesta liliofanya hitimisho lake usiku wa kuamkia jana katika viwanja vya leaders Jijini Dar es salaam.

 

Vanessa Mdee akiwa na dansa wake wakitoa burudani kwa maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar es salaam katika usiku wa jana  viwanja vya leaders.

 

Fid q akitoa burudani katika jukwaa la Tigo  fiesta jijini Dar es salaam katika kilele chake kilichofanyika katika viwanja vya Leaders.

 

Mashabiki wa muziki wakifurahia  burudani mbalimbali zilizotolewa katika kilele cha Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana katika viwanja vya Leaders Jijini Dar es salaam.

 

Fid Q akiendelea kuburudisha katika Jukwaaa la Tigo Fiesta.
Mwanamziki Mkongwa wa BongoFleva Afande sele akiwa  katika jukwaaa la Tigo fiesta usiku wa kuamkia jana katika viwanja vya Leaders jijini Dar es salaaam.

 

Maua Sama akiwa na kundi lake akitumbuiza katika kilele cha Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana katika viwanja vya leaders .

 

Benpol akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana. 

About Habari360_1

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *