Habari Kitaifa

SHAKA amtembelea Waziri Mkuu Mstaafu JOHN MALECELA

on

Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela akizungumza na Kaimu Katibu wa umoja
wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka (kushoto)
wakati alipomtembelea, nyumbani kwake mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela akimwonyesha kaimu katibu Mkuu wa
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka
kinyango chenye uzito wa tani 1 wakati alipomtembelea, nyumbani kwake
mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela akimwelezea kaimu katibu Mkuu wa
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka picha
iliochorwa na Mwanafinzi wa darasa la saba Mwaka 1982 wakati wa hali
ngumu ya uchumi nchini.
Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela akimwelezea kaimu katibu Mkuu wa
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka picha iliyochorwa na mjukuu wake ikimuonesha yeye na Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

About Habari360_1

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *